ZOEZI LA USAJILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI YA MSOLWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021 UMESITISHWA TOKA TAREHE 16, MACHI 2020.
TAFADHALI USILIPIE ADA YA USAJILI

SAMBAMBA NA HILI, MTIHANI WA USAILI KWA KIDATO CHA TANO ULIOKUWA UFANYIKE TAREHE 28 MACHI 2020 UMEAHIRISHWA MPAKA ITAKAPO TANGAZWA.

UTAWALA