Jumuiya ya Shule ya sekondari ya Msolwa “St. Gaspare Bertoni” inaungana na watanzania kutoa pole na salamu za rambirambi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na kwa familia, ndugu, jamaa, na marafiki kwa Msiba huu wa Taifa wa Rais wa awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe