Ndugu mzazi /mlezi

Unatangaziwa kwamba kitakuwa na kikao Cha wazazi wote shuleni Msolwa Sekondari siku ya jumamosi tarehe 5/9/2020 SAA nne asubuhi katika ulumbi wa Shule.

Nyote mnakaribishwa