Ndugu mzazi na mlezi wa mwanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2020/2021 unatangaziwa kuwa unatakiwa kutuma results slip ya kijana wako yakidato cha nne ili kuwezesha kupata taarifa za kumsajili.
Ni muhimu sana, tuma kupitia anwani pepe ya shule msolwasecondary@gmail.com au uje siku ya kikao cha wazazi cha tarehe 05/09/2020.
mwisho wa kuwasilisha ni Tarehe 15/09/2020