NDG MZAZI/MLEZI, UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” UMEANZISHA MFUMO WA CRDB BANK WA KUTUMA UJUMBE WA KIASI CHA DENI LA ADA UNALODAIWA KUPITIA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU YA MKONONI. KWENYE UJUMBE HUO UTAPATA “CONTROL NUMBER” KWA AJILI YA KUFANYA MALIPO YA ADA. ITATUSAIDIA KUJUA KIASI ULICHOLIPA NA KIASI KILICHOBAKI BILA KUWASILISHA “PAY IN SLIP” SHULENI.
TUNAOMBA USHIRIKIANO WAKO KWA LOLOTE LINALOHUSU MALIPO YA ADA..
IKIWA UTAKUTANA NA CHANGAMOTO YOYOTE USISITE KUWASILIANA NA WAHASIBU WA SHULE KWA NAMBA ZIFUATAZO:
MR. MAKINDA S. 0787-158247
MR. SEMBULI C. 0786-225011