NDG, MZAZI/MLEZI TUNAWATANGAZIA KWAMBA UDAHILI WA MTIHANI WA MARUDIO WA KIDATO CHA KWANZA MWAKA WA MASOMO 2021 UTAFANYIKA TAREHE 31/10/2020JUMAMOSI, SAA 7:30 ASUBUHI KATIKA VITUO VIFUATAVYO;

  1. SHULE YA SEKONDARI MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” – MSOLWA, MIKUMI.
  2. STAR INTERNATION SCHOOL – IPOGOLO, IRINGA.

ZINGATIA:

FIKA NA KIJANA WAKO, AKIWA NA PICHA 2 PASSPORT SIZE. GHARAMA YA FOMU NI TSHS 20,000/= TU.

KWA WANAOTOKA MBALI ITAKULAZIMU KUFIKA MSOLWA SHULENI SIKU YA IJUMAA TAREHE 30/10/2020. NYUMBA ZA KULALA WAGENI ZIPO.

KARIBUNI SANA.

UTAWALA