WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WANATARAJIA KUMALIZA MITIHANI YAO YA TAIFA (FTNA) 2020, SIKU YA JUMATANO YA TAREHE 18/11/2020 SAA 4:30 ASUBUHI.

HIVYO UNAOMBWA KUANDAA UTARATIBU WA KUMCHUKUA/KUWACHUKUA IKIWEZEKANA MCHANA BAADA YA MTIHANI AU SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 19/11/2020.

MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” S.S.