TAREHE: 7/1/2021. KUTOKA KWA: OFISI YA TAALUMA KWENDA KWA: WAZAZI. YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA KUCHELEWESHA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO. Husika na kichwa cha habari hapo juu.Ofisi ya taaluma inaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo kutokana na sababu zisizozuilika. Tunaahidi kuongeza umakini ili hali hiyo isijirudie. IMETOLEWA NA OFISI YA TAALUMA.