Uongozi wa shule unapenda kuwaataarifu wazazi na walezi kuwa mkutano wa wazazi uliokuwa ufanyike tarehe 24/4/2021 umeahirishwa mpk hapo itakapotangazwa tena.

Uongozi wa Shule unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.