News & Events

TAHASUSI MPYA YA PMC

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Msolwa unayo furaha kuwatarifu wazazi , walezi na wanafunzi kuwa tahasusi mpya ya PMC yaani Physics Mathematics Computer Science Imeanzishwa hapa Shuleni. Aidha uongozi wa shule pia unaalika wanafunzi wote wenye nia ya kusoma tahasusi hiyo kujiunga na shule kwa muhula wa masomo wa 2021/2022

0
Read More

FORM FIVE SELECTION 2021

S/N NAME OF CANDIDATES SEX COMB SELECTED 1 ALICE A. BOI F PCB 2 DOREEN STEVEN SHAYO F EGM 3 ELINAMI MATSON ELISHA F PGM 4 FARAJA MULUNGU BIHEMO F PCB 5 GLORIA AYUNA MLOKOZI F PCB 6 GRINA SILYVESTER NGEKE F H GE 7 HENRICA HARALD LUAMBANO F PCB 8 JUDITH JOSEPH MWITA F PGM 9 LENA AYESIGA KANYUMA F PCB 10 NASRA ISSA ULIMWENGU F PCB 11 REBEKAH ALEX NATAI F H GE 12 SHARON GILBERT NIGAYA F…

0
Read More

Apology Note

TAREHE: 7/1/2021. KUTOKA KWA: OFISI YA TAALUMA KWENDA KWA: WAZAZI. YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA KUCHELEWESHA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO. Husika na kichwa cha habari hapo juu.Ofisi ya taaluma inaomba radhi kwa kuchelewesha matokeo kutokana na sababu zisizozuilika. Tunaahidi kuongeza umakini ili hali hiyo isijirudie. IMETOLEWA NA OFISI YA TAALUMA.

0
Read More

TAARIFA KWA WAZAZI/WALEZI

WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WANATARAJIA KUMALIZA MITIHANI YAO YA TAIFA (FTNA) 2020, SIKU YA JUMATANO YA TAREHE 18/11/2020 SAA 4:30 ASUBUHI. HIVYO UNAOMBWA KUANDAA UTARATIBU WA KUMCHUKUA/KUWACHUKUA IKIWEZEKANA MCHANA BAADA YA MTIHANI AU SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 19/11/2020. MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” S.S.

0
Read More

MTIHANI WA MARUDIO KUJINGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021

NDG, MZAZI/MLEZI TUNAWATANGAZIA KWAMBA UDAHILI WA MTIHANI WA MARUDIO WA KIDATO CHA KWANZA MWAKA WA MASOMO 2021 UTAFANYIKA TAREHE 31/10/2020JUMAMOSI, SAA 7:30 ASUBUHI KATIKA VITUO VIFUATAVYO; SHULE YA SEKONDARI MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” – MSOLWA, MIKUMI. STAR INTERNATION SCHOOL – IPOGOLO, IRINGA. ZINGATIA: FIKA NA KIJANA WAKO, AKIWA NA PICHA 2 PASSPORT SIZE. GHARAMA YA FOMU NI TSHS 20,000/= TU. KWA WANAOTOKA MBALI ITAKULAZIMU KUFIKA MSOLWA SHULENI SIKU YA IJUMAA TAREHE 30/10/2020. NYUMBA ZA KULALA WAGENI ZIPO. KARIBUNI SANA. UTAWALA

0
Read More

Msolwa – St. Gaspare Bertoni Secondary School
+255 789 118 106

Headmistress /Head of School:-

+255 693 414 472

msolwasecondary@gmail.com


CRDB BANK

  • AC/NAME: MSOLWA ST GASPER OTHER CONTRIBUTION AC
  • AC/NO: 0150261726602

SCHOOL FEES ACCOUNT
Kwa wazazi na walezi wote, malipo yoyote ya shule yapitie Bank kwa akaunti zifuatazo:

Jina la akaunti:-  MSOLWA ST. GASPARE SEC.SC

  • Akaunti namba:- CRDB 0150261726600  KILOMBERO BRANCH 
  • Akaunti namba:– NBC 026103003043 MOROGORO BRANCH
  • NMB-24910001310 MOROGORO BRANCH
With a little help from Maurizio Boscaini.