News & Events

TAARIFA KWA WAZAZI/WALEZI

WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI WANATARAJIA KUMALIZA MITIHANI YAO YA TAIFA (FTNA) 2020, SIKU YA JUMATANO YA TAREHE 18/11/2020 SAA 4:30 ASUBUHI. HIVYO UNAOMBWA KUANDAA UTARATIBU WA KUMCHUKUA/KUWACHUKUA IKIWEZEKANA MCHANA BAADA YA MTIHANI AU SIKU YA ALHAMISI YA TAREHE 19/11/2020. MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” S.S.

0
Read More

MTIHANI WA MARUDIO KUJINGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021

NDG, MZAZI/MLEZI TUNAWATANGAZIA KWAMBA UDAHILI WA MTIHANI WA MARUDIO WA KIDATO CHA KWANZA MWAKA WA MASOMO 2021 UTAFANYIKA TAREHE 31/10/2020JUMAMOSI, SAA 7:30 ASUBUHI KATIKA VITUO VIFUATAVYO; SHULE YA SEKONDARI MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” – MSOLWA, MIKUMI. STAR INTERNATION SCHOOL – IPOGOLO, IRINGA. ZINGATIA: FIKA NA KIJANA WAKO, AKIWA NA PICHA 2 PASSPORT SIZE. GHARAMA YA FOMU NI TSHS 20,000/= TU. KWA WANAOTOKA MBALI ITAKULAZIMU KUFIKA MSOLWA SHULENI SIKU YA IJUMAA TAREHE 30/10/2020. NYUMBA ZA KULALA WAGENI ZIPO. KARIBUNI SANA. UTAWALA

0
Read More

Form One 2021 Selection

Ndugu wazazi na walezi, Tunawatangazia kuwa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2021 yako Tayari. Gonga link hiyo kuangalia https://msolwabertoni.ac.tz/wp-content/uploads/2020/10/Form-one-2021.pdf Au pakua kwa kugonga maandishi haya ya chini

0
Read More

UTARATIBU WA KULIPA ADA NA KUPOKEA TAARIFA YA DENI LA ADA

NDG MZAZI/MLEZI, UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI MSOLWA “ST. GASPARE BERTONI” UMEANZISHA MFUMO WA CRDB BANK WA KUTUMA UJUMBE WA KIASI CHA DENI LA ADA UNALODAIWA KUPITIA KWENYE NAMBA YAKO YA SIMU YA MKONONI. KWENYE UJUMBE HUO UTAPATA “CONTROL NUMBER” KWA AJILI YA KUFANYA MALIPO YA ADA. ITATUSAIDIA KUJUA KIASI ULICHOLIPA NA KIASI KILICHOBAKI BILA KUWASILISHA “PAY IN SLIP” SHULENI. TUNAOMBA USHIRIKIANO WAKO KWA LOLOTE LINALOHUSU MALIPO YA ADA..IKIWA UTAKUTANA NA CHANGAMOTO YOYOTE USISITE KUWASILIANA NA WAHASIBU WA SHULE KWA…

0
Read More

RESULTS SLIP

Ndugu mzazi na mlezi wa mwanafunzi wa kidato cha sita mwaka 2020/2021 unatangaziwa kuwa unatakiwa kutuma results slip ya kijana wako yakidato cha nne ili kuwezesha kupata taarifa za kumsajili. Ni muhimu sana, tuma kupitia anwani pepe ya shule msolwasecondary@gmail.com au uje siku ya kikao cha wazazi cha tarehe 05/09/2020. mwisho wa kuwasilisha ni Tarehe 15/09/2020

0
Read More

KIKAO CHA WAZAZI

Ndugu mzazi /mlezi Unatangaziwa kwamba kitakuwa na kikao Cha wazazi wote shuleni Msolwa Sekondari siku ya jumamosi tarehe 5/9/2020 SAA nne asubuhi katika ulumbi wa Shule. Nyote mnakaribishwa

0
Read More

Salamu za Rambirambi

Jumuiya ya Shule ya sekondari ya Msolwa “St. Gaspare Bertoni” inaungana na watanzania kutoa pole na salamu za rambirambi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli na kwa familia, ndugu, jamaa, na marafiki kwa Msiba huu wa Taifa wa Rais wa awamu ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe

0
Read More

Msolwa – St. Gaspare Bertoni Secondary School
+255 789 118 106

Headmistress /Head of School:-

+255 693 414 472

msolwasecondary@gmail.com


CRDB BANK

  • AC/NAME: MSOLWA ST GASPER OTHER CONTRIBUTION AC
  • AC/NO: 0150261726602

SCHOOL FEES ACCOUNT
Kwa wazazi na walezi wote, malipo yoyote ya shule yapitie Bank kwa akaunti zifuatazo:

Jina la akaunti:-  MSOLWA ST. GASPARE SEC.SC

  • Akaunti namba:- CRDB 0150261726600  KILOMBERO BRANCH 
  • Akaunti namba:– NBC 026103003043 MOROGORO BRANCH
  • NMB-24910001310 MOROGORO BRANCH
With a little help from Maurizio Boscaini.