News & Events

TAARIFA KWA WAZAZI NA WALEZI

ZOEZI LA USAJILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO WANAOTARAJIA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI YA MSOLWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021 UMESITISHWA TOKA TAREHE 16, MACHI 2020. TAFADHALI USILIPIE ADA YA USAJILI SAMBAMBA NA HILI, MTIHANI WA USAILI KWA KIDATO CHA TANO ULIOKUWA UFANYIKE TAREHE 28 MACHI 2020 UMEAHIRISHWA MPAKA ITAKAPO TANGAZWA. UTAWALA

0
Read More

Msolwa – St. Gaspare Bertoni Secondary School
+255 789 118 106

Headmistress /Head of School:-

+255 693 414 472

msolwasecondary@gmail.com


CRDB BANK

  • AC/NAME: MSOLWA ST GASPER OTHER CONTRIBUTION AC
  • AC/NO: 0150261726602

SCHOOL FEES ACCOUNT
Kwa wazazi na walezi wote, malipo yoyote ya shule yapitie Bank kwa akaunti zifuatazo:

Jina la akaunti:-  MSOLWA ST. GASPARE SEC.SC

  • Akaunti namba:- CRDB 0150261726600  KILOMBERO BRANCH 
  • Akaunti namba:– NBC 026103003043 MOROGORO BRANCH
  • NMB-24910001310 MOROGORO BRANCH
With a little help from Maurizio Boscaini.