YAH: KUAHIRISHWA KWA KIKAO CHA WAZAZI/WALEZI CHA TAREHE 14/08/2021.

Ndugu, Mzazi/Mlezi Uongozi na Menejimenti ya Msolwa “St. Gaspare Bertoni” Sekondari , unakutaarifu kuwa kikao kilichokuwa kimepangwa kufanyika tarehe 14/08/2021 kimeahirishwa kutokana na mlipuko wa UVIKO-19. Utawala wa shule umezingatia agizo la Serikali la kuzuia mikusanyiko yoyote kama sehemu ya tahadhari ya ugonjwa tajwa. Hivyo, kikao hicho kimeahirishwa mpaka hali itakapo kuwa shwari. Asanteni, tunawatakia kazi njema

Msolwa – St. Gaspare Bertoni Secondary School
+255 789 118 106

Headmistress /Head of School:-

+255 693 414 472

msolwasecondary@gmail.com


CRDB BANK

  • AC/NAME: MSOLWA ST GASPER OTHER CONTRIBUTION AC
  • AC/NO: 0150261726602

SCHOOL FEES ACCOUNT
Kwa wazazi na walezi wote, malipo yoyote ya shule yapitie Bank kwa akaunti zifuatazo:

Jina la akaunti:-  MSOLWA ST. GASPARE SEC.SC

  • Akaunti namba:- CRDB 0150261726600  KILOMBERO BRANCH 
  • Akaunti namba:– NBC 026103003043 MOROGORO BRANCH
  • NMB-24910001310 MOROGORO BRANCH
With a little help from Maurizio Boscaini.