MTIHANI WA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO MWAKA 2022/23,
UTAFANYIKA TARAHE 5 FEBRUARI 2022 KATIKA VITUO VIFUATAVYO;
- AZANIA SECONDARY SCHOOL – DAR ES SALAAM (0767-237849)
- MOROGORO SOCIAL EDUCATION CENTRE – ST. PATRICK CATHOLIC CHURCH – MOROGORO
- CATHEDRAL HALL- DODOMA
- MSOLWA ST. GASPARE BERTONI SECONDARY SCHOOL-MIKUMI
FOMU ZINAPATIKANA KUANZIA TAREHE 30 NOVEMBA 2021, KATIKA
VITUO VIFUATAVYO;
- MOROGORO – HKZ COMPANY LTD KATIBU NA ZIMAMOTO – 0754-309530
- DAR ES SALAAM – MSIMBAZI CENTRE CHUMBA MARIAN SHOP NA CHUMBA NA. 9
- DAR ES SALAAM – MSIMBAZI CENTRE CHUMBA 10, CHUMBA 11 NA CHUMBA 18 – 0788-018399
- DAR ES SALAAM – KWENYE OFISI ZA UMOJA WA WAZAZI URAFIKI UBUNGO POLISI: 0684-366987/0716-041001.
- UKUMBI WA CATHEDRAL JIMBO KATOLIKI – DODOMA – 0625-451014 /
0785-414426
- IRINGA – CHUO CHA RUCO – 0753-495603