You are currently viewing MTIHANI WA USAHILI TAREHE 15 OCTOBA 2022 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO WA 2023.

MTIHANI WA USAHILI TAREHE 15 OCTOBA 2022 KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO WA 2023.

MTIHANI WA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA WA MASOMO WA 2023, UTAFANYIKA MARA BAADA YA MTIHANI YA DARASA LA SABA. MTIHANI HUO UTAFANYIKA TAREHE 15 OCTOBA, 2022 SIKU YA JUMAMOSI KATIKA VITUO VIFUATAVYO;

  1. MSOLWA ST. GASPARE BERTONI SECONDARY SCHOOL (0789-118106)
  2. MIKUMI VOCATIONAL TRAINING CENTRE (VETA) (0789-118106)
  3. AZANIA SECONDARY SCHOOL – DAR ES SALAAM (0767-237849)
  4. STIGMATINE FATHERS – BEHIND CONSOLATA SEMINARY KOLA –NANENANE (0684-220167)
  5. HOLY CROSS CATHEDRAL HALL- DODOMA (0679-752237/0625-451014)
  6. CORADO KONGWA ENGLISH MEDIUM PRIMARY SCHOOL (0763-205000)

KWA MAWASILIANO;

  • 0789-118 106 – MSAJILI
  • 0683-070 497 – MTAALUMA MSAIDIZI
  • 0787-823 216 – MTAALUMA
  • 0693-414 472 – MKUU WA SHULE