NEWS & EVENTS

“Trust in the Lord with all your heart and do not rely on your own insight. In all your ways acknowledge him, and He will make straight your paths.

sdr

SCHOOL FEES ACCOUNT

Kwa wazazi na walezi wote, malipo yoyote ya shule yapitie Bank kwa akaunti zifuatazo:

Jina la akaunti:-  MSOLWA ST. GASPARE SEC.SC

  • Akaunti namba:- CRDB 0150261726600  KILOMBERO BRANCH 
  • Akaunti namba:– NBC 026103003043 MOROGORO BRANCH
  • NMB-24910001310 MOROGORO BRANCH

POCKET MONEY

NDUGU WAZAZI NA WALEZI MNAOMBWA KUWEKA PESA ZA MATUMIZI (POCKET MONEY) ZA WATOTO WENU SHULENI KWENYE AKAUNTI IFUATAYO:

CRDB BANK

  • AC/NAME: MSOLWA ST GASPER OTHER CONTRIBUTION AC
  • AC/NO: 0150261726602
20210717_145329-2
Baskeball match

OFFICIAL CONTACTS

NDUGU WAZAZI NA WALEZI MNAOMBWA KUTUMIA NAMBA 0789-118 106 KUWASILIANA NA UTAWALA WA SHULE KWANZIA SASA na EMAIL:- msolwasecondary@gmail.com. ASANTE

LATEST NEWS

Important updates on news and events happening at Msolwa Secondary School.

TAHASUSI MPYA YA PMC

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Msolwa unayo furaha kuwatarifu wazazi , walezi na wanafunzi kuwa tahasusi mpya ya PMC yaani Physics …

Apology Note

TAREHE: 7/1/2021. KUTOKA KWA: OFISI YA TAALUMA KWENDA KWA: WAZAZI. YAH: KUOMBA MSAMAHA KWA KUCHELEWESHA MATOKEO YA KIDATO CHA TANO. Husika na …

Your Future Starts Here.

Education is Not Preparation of Life, Education is Life itself.