You are currently viewing TAHASUSI MPYA YA PMC

TAHASUSI MPYA YA PMC

Uongozi wa Shule ya Sekondari ya Msolwa unayo furaha kuwatarifu wazazi , walezi na wanafunzi kuwa tahasusi mpya ya PMC yaani Physics Mathematics Computer Science Imeanzishwa hapa Shuleni.
Aidha uongozi wa shule pia unaalika wanafunzi wote wenye nia ya kusoma tahasusi hiyo kujiunga na shule kwa muhula wa masomo wa 2021/2022